Habari za Punde

PICHA ZA MTANANGE WA YANGA v/s JKT RUVU LEO

 Mshambuliaji wa Yanga,Donald Ngoma,akijaribu kuwapita mabeki wa JKT Ruvu.
 Ngoma akiwatoka mabeki wa JKT Ruvu.
 Mashabiki wa Yanga,wakishangilia bao lapili
 Wachezaji wa Yanga,Deus Kaseke (katikati) na Haruna Niyonzima wakimpongeza mwenzao,Simon Msuva baada ya kutupia baola pili.
 Kikosi cha Ynaga
 Kikosi cha JKT Ruvu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.