Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA IKULU JIJINI DAR

Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016. 
Rais John Magufuli akiteta na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Ikulu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2016.
Rais John Magufuli akiteta na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Ikulu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2016. 
Rais John Magufuli akizungumza na mtoto Doreen Ndika ambaye aliambatana na baba yake, Jaji Dkt. Gerald Ndika ambaye aliyeapishwa na Rais `Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016 kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.