Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WAMTEMBELEA ASKOFU MKUU POLYCARP KARDINALI PENGO


Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kwa kufiwa na dada yake nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa kwenye picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kwa kufiwa na dada yake nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.