Habari za Punde

RAIS WA UFARANSA AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA OGP,MKURUGENZI TWAWEZA AELEZA MUELEKEO

Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande akihutubia washiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel, ambapo alisisitiza umuhimu wa wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo na kuwataka washiriki kuja na matokeo ya hatua zilizochukuliwa katika kushirikisha wananchi kwenye masuala ya maendeleo.
Washiriki wakimsikiliza Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande
Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan Eyakuze (kulia) akishiriki katika majadiliano wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel,ambapo walijadili masuala mbalimbali ya Serikali kwa uwazi nakueleza mtazamo wake juu muelekeo wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP).  KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Mtafiti katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu (wakwanza kulia)akijibu maswali wakati wa kikao cha Asasi za Kiraia katika mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alieleza jinsi uwepo za sheria za habari na sheria za haki ya kupata taarifa zinavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi.
Mtafiti katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu (wakwanza kulia)akijibu maswali wakati wa kikao cha Asasi za Kiraia katika mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alieleza jinsi uwepo za sheria za habari na sheria za haki ya kupata taarifa zinavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen akiongea na washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alisema serikali kutoa huduma kwa uwazi kutasaidia kuondoa vitendo vya rushwa na uwazi.
Washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan Eyakuze akiongea na Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan Eyakuze akifafanua jambo.

Mtafiti katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu akitoa mada kuhusu namna asasi za kiraia na ukuaji wa teknolojia unaweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa. 
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO-PARIS (UFARANSA)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.