Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ATOA SALAMU YA MWAKA MPYA 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe, Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa salamu za mwaka mpya wa 2017 kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla,ambapo ameuombea kuwa mwaka wa mafanikio na Amani,salamu hizo alizotoa leo katika  ukumbi wa Ukulu Mjini Unguja leo. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.