Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja,kuzindua Kongamano la Wajasiriamali sambamba na maonesho ya wajasiria mali wa vikundi mbali mbali na taasisi za Serikali  leo.
 Baadhi ya mabanda ya maonesho ya Wajasiriamali katika viwanja vya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja, ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alitembelea leo kabla ya kuzindua Kongamano la Wajasiriamali
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho ya wajasiriamali wa Vikundi mbali mbali leo akiwa na Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watotio Mh,Moudline Cyrus Castico(kushoto) kabla ya kuzindua Kongamano la Wajasiriamali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho ya wajasiriamali wa Vikundi mbali mbali leo kabla ya kuzindua Kongamano la Wajasiriamali. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.