Habari za Punde

WALIOTOROKA KAMBI YA MAKAPERA WIKI HII NI GEORGE NA VICTORIA

Bwana harusi, George Raphael na mkewe Victoria Mollel wakiwa katika pozi la tabasamu baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Ushirika wa Ubungo, Lutheran mwishoni mwa wiki iliyopita.
Biharusi, Victoria Mollel katika pozi
Bwana harusi, George Raphael.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Bwana na Biharusi  katika pozi 
Maharusi katika Picha ya familia ya pande zote mblili
Maharusi na wapambe katika picha ya pamoja
Victoria Mollel akipunga mkono akiondoka Kanisani
Maharusi katika pozi 
Bwana harusi George Raphael na Victoria Mollel wakiwa katika pozi 
Biharusi, Victoria Mollel katika picha ya pamoja na familia 
Mchungaji Godliste Nkya akiwakabidhi Cheti cha Ndoa baada ya kufunga pingu za Maisha

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.