Habari za Punde

WATAALAMU WA SEKTA YA ELIMU WAKUTANA NA KUCHAMBUA SERA NA CHANGAMOTO ZA ELIMU

Mkuu wa Idara ya Elimu kutoka Wizara ya. Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Sylvia Chinguwile (kulia) akifafanua jambo katika warsha hiyo. Mwanachama wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Zippora Shekilango (kulia) akizungumza jambo katika warsha hiyo ilishirikisha pia watendaji Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wadau wengine. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA Muwasilishaji wa mada juu ya changamoto katika sekta ya elimu, Bi. Agnes Lukanga (kulia) akiwasilisha mada yake kwa wataalamu hao. Ofisa Mradi wa TGNP, Happiness Maruchu (kushoto) akifafanua namna mtandao huo unavyoendesha tafiti zake kwa jamii kabla ya kuibua changamoto mbalimbali kwenye jamii. Baadhi ya maofisa na watendaji kutoka sekta ya elimu wakiwa katika majadiliana kujadili changamoto za sera katika warsha iliyoandaliwa na TGNP Mtandao na kufanyika jijini Dar es Salaam jana. Warsha hiyo pia ilishirikisha watendaji Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wadau wengine. Baadhi ya maofisa na watendaji kutoka sekta ya elimu wakiwa katika majadiliana kujadili changamoto za sera katika warsha iliyoandaliwa na TGNP Mtandao na kufanyika jijini Dar es Salaam jana. Warsha hiyo pia ilishirikisha watendaji Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wadau wengine. Baadhi ya maofisa na watendaji kutoka sekta ya elimu wakiwa katika majadiliana kujadili changamoto za sera katika warsha iliyoandaliwa na TGNP Mtandao na kufanyika jijini Dar es Salaam jana. Warsha hiyo pia ilishirikisha watendaji Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wadau wengine. Muwasilishaji wa mada juu ya changamoto katika sekta ya elimu, Bi. Agnes Lukanga (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wataalamu hao. Muwasilishaji wa mada juu ya changamoto katika sekta ya elimu, Bi. Agnes Lukanga (kulia) akiwasilisha mada yake kwa wataalamu hao. Kaimu Afisa Elimu Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Asha Mapunda (wa kwanza kushoto) akichangia jambo katika warsha hiyo ya siku tatu iliyoandaliwa na TGNP Mtandao Baadhi ya washiriki katika warsha hiyo akichangia jambo katika warsha hiyo ya siku tatu iliyoandaliwa na TGNP Mtandao. Majadiliano katika vikundi kwa washiriki wa warsha yakiendelea. Majadiliano katika vikundi yakiendelea.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.