Habari za Punde

WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA WIKI UTOAJI HUDUMA KWA UMMA

 Waziri wa sheria na katiba Dkt.Harrison Mwakyembe akishirikiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki kuzindua rasmi  wiki ya kutoa  huduma kwa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.
  Waziri wa sheria na katiba Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na wadau mbalimbali kwenye  uzinduzi wa wiki ya kutoa  huduma kwa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa sheria na katiba Dkt.Harrison Mwakyembe akishirikiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki kuzindua rasmi  wiki ya kutoa  huduma kwa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa sheria na katiba Dkt.Harrison Mwakyembe akimsikiliza kwa makini  Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF), Mkoa wa Ilala, Hipoliti Lello.
Waziri wa sheria na katiba Dkt.Harrison Mwakyembe akifrahia jambo na Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF), Mkoa wa Ilala, Hipoliti Lello, leojijini Dar es Salaam.

 
  Waziri wa sheria na katiba Dkt.Harrison Mwakyembe akimsikiliza kwa makini  Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF), Mkoa wa Ilala, Hipoliti Lello
 ,Waziri wa sheria na katiba Dkt.Harrison Mwakyembe akifrahia jambo na Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF), Mkoa wa Ilala, Hipoliti Lello, leojijini Dar es Salaam.
Afisa Mtafiti wa shughuli za mfuko wa Taifa wa bima ya Afya, Shani Mussa akizungumza na Mwananchi alieetembela banda la (NHIF)katika uzinduzi wa wiki ya kutoa  huduma kwa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.
*****************************************
Na Emmanuel Massaka, Dar
Waziri wa sheria na katiba mh.  Harrison Mwakyembe amezindua wiki ya kutoa  huduma kwa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.                        
Akizungumza katika uzinduzi wa wa wiki ya utoaji huduma na upokeaji wa malalamiko kutoka kwa wananchi katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya maadili Disemba10 , Dk. Mwakyembe amesema Serikali haitomfumbia macho mtumishi yeyote anayekiuka maadili na kutumia vibaya  nafasi aliyonayo.
Waziri Mwakyembe amesema kuwa watendaji watakao chelewesha utoaji haki na huduma kwa wananchi Serikali haitowaonea haya kuwawajibisha ipasavyo.
Taasisi saba za umma zinashiriki kwenye utoaji wa huduma. Taasisi hizo ni ofisi ya rais - menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora,  takukuru, sekretariat ya maadili ya viongozi wa umma, ppra, naot, tume ya utumishi wa umma na tume ya haki za binadamu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.