Habari za Punde

WAZIRI NAPE AFUNGUA MASHINDANO YA KUOGELEA YA VIJANA CHINI YA MIAKA 13 DAR

 Waziri wa Habari utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa mashindano ya kuogelea ya vijana chini ya umri wa miaka 13 yanayoandaliwa na Dar es Salaam Swimming Club yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.
 
 Baadhi ya washiriki wa mashindano ya kuogelea ya Vijana chini ya umri wa miaka 13 wakijaaandaa kuruka ndani ya bwawa la kuogelea kuanza kushindana katika mashindano hayo yaliyoandaliwa na Dar es Salaam Sewimming Club.
 
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mashindano hayo ya Vijana ya kuogelea yaliyoandaliwa na Dar es Salaam Swimming Club.
  
 
Waziri wa Habari utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwavalisha medani baadhi ya washindi wa kuogelea mara baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yanayoandaliwa na Dar es Salaam Swimming Club yanayofanyika Jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.