Habari za Punde

HIVI NIKWELI BAADHI YA MADEREVA WA MAGARI YA MAFUTA HUYAUZA KABLA YA KUFIKA KWA MHUSIKA?

 Bosi wa Kituo cha mafuta cha GBP (mwenye tisheti ya mistari kushoto) kilichopo Sinza Mori, akikagua tank la mafuta kabla ya kumiminwa kwenye matanki ya kituo hicho kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog. Mabosi wengi wamekuwa wakifanya hivyo ili kuhakikisha ujazo wa mafuta katika magari yanayosafirisha mafuta kutokana na baadhi ya madereva wa magari hayo kutokuwa waaminifu ambao huuza kiasi cha mafuta na wengine huchanganya na maji kabla ya kufikisha kwa mhusika
 Vipimo vikiendelea...
 Uhakiki wa ujazo ukiendelea

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.