Habari za Punde

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELEA SOKO LA HISA

  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bi. Nasama Massinda akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti walipotembelea Soko la Hisa leo Jijini Dar es Salaam.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bajeti walipotembelea Soko hilo leo Jijini Dar es Salaam
 Meneja Miradi na Biashara wa wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE),Patrick  akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti jinsi Soko hilo linavyofanya kazi. Picha na Ofisi ya Bunge

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.