Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI

 Vijana siku hizi wamejitahidi kubuni mbinu mbadala wa kufanya biashara kama kijana huyu Fundi Saa anavyoonekana pichani akikatiza mitaa ya Sinza akiwa na bango lake linalotangaza kazi yake huku akitafuta wateja kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.