Habari za Punde

KARIBUNI CHIPS ZA UKWEE JAMANI, SIKU HIZI WANAWAKE HAWACHAGUI KAZI ILIMRADI CHAPAA

 Wanasemaga Mwanamke kujishughulisha na hasa ukijituma kila kitu kitakuwa sawa, na mwanamke wa shoka ni yule asiyechagua kazi kama mwanadada huyu mkazi wa Bagamoyo Mlingotini kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog akikaanga chipsi kwa ajili ya kuwahudumia wateja wake pande hizo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.