Habari za Punde

MABONDIA MFAUME MFAUME NA MUDDY MATUMLA WATAMBIANA KUZIPIGA FEB 5 TAIFA


Bondia Mfaume Mfaume (kushoto) akitunishiana misuli na Mohamed Matumla, wakati wa utambulisho wa pambano lao linalotarajia kupigwa Feb 5 mwaka hu uwanja wa ndani wa Taifa (katikati) ni mratibu wa pambano hilo Chese Masanja.
Mratibu Chese Masanja (kulia) akimwinua mkono juu bondia Manyi Issa kumtambulisha kwa wanahabari.
Mratibu Chese Masanja (kulia) akimwinua mkono juu bondia Ramadhani Shauri, kumtambulisha kwa wahandishi wa habari. Shauri anatarajia kuzichapa na Meshack Mwankemwa katika pambano la raundi 10.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.