Habari za Punde

MABONDIA MOHAMED MATUMLA NA MFAUME MFAUME WASAINI MKATABA KUZIPIGA FEB 5 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mratibu wa pambano wa ngumi, Jocktan Masasi (katikati) akiwainua mikono mabondia Mfaume Mfaume (kushoto) na Mohamed Matumla, wakati akiwatambulisha baada ya kusaini mkataba wa kupanda ulingoni kuzichapa Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa 'Indoor Stadium'.
Moja wa Viongozi wa TPBC Joe Anena (katikati) akiwainuwa juu mikono mabondia Mfaume Mfaume (kushoto) na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa pambano lao litakalofanyika Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa (kulia) ni mmoja wa wajumbe wa TPBC Chese Masanja

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.