Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI AZAM WAKIICHAPA SIMBA BAO 1-0 JANA USIKU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwasalimia   wachezaji  wa Timu ya Simba   kabla mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwasalimia   wachezaji  wa Timu ya Azam   kabla mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Simba jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na  wachezaji  wa Timu ya Azam   kabla mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Simba jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na  Waamuzi wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Timu ya Simba na Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na  wachezaji  wa Timu ya Simba  kabla mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
Mashabiki wa Timu ya Simba wakiwa wakiwa doro baada ya Azam kupata bao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwavalisha nishani wachezaji wa Timu ya Simba, washindi wa pili Kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kumalizika mchezo wa Fainali baina yao na Azam jana usiku katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja. Azam walishinda bao 1-0.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabishi Kitita cha Shilingi Millioni Tano Nahodha wa Timu ya Simba Jonas Mkude, baada ya mchezo wa Fainali Kombe la Mapinduzi kumalizika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimvisha nishani Mudathir Yahya wa Azam   baada ya kumalizika mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabishi Kombe la Mapinduzi mwaka 2017 Nahodha wa Timu ya Azam John Bocco jana usiku baada ya timu hiyo kuifunga Simba bao 1-0 katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.