Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA VURUGU ZA LIPULI VS FRIENDS RANGERS IRINGA JANA, FRIENDS WAKIPIGWA 3-1

Wachezaji Lipuli Fc wakimumwagia maji kiongozi wa Lipuli Fc Willy wakati wakishangilia ushindi kambini kwao
Mbunge viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati akishangilia ushindi wa Lipuli baada ya kuichapa Friends Rangers 3-1 jana kwenye uwanja wa Samora Iringa.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Wambura wa TFF wa pili kulia akifuatilia mchezo huo

Msafara wa waziri wa katiba na sharia Dkt Mwakyembe ukiingia uwanjani 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.