Habari za Punde

MATUKIOKATIKA PICHA KILELE CHA MIAKA 53 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

 Makomandoo wa Jeshi la  Wananchi wa Tanzania JWTZ walipoonesha ukakamavu wao kwa kuvuta Gari kama wanavyoonekanwa katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
 Kikosi cha Makomandoo wakionesha ukakamavu wao katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Kikosi cha Askari wa Polisi wa Zamani (Tarbush) wakionesha Gwaride lao wakati wa sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan ,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa  hutuba yake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa salamu ya heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi katika  sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan,zilizohudhuriwa na Viongozi mbali mbali
 Viongozi  Wakuu wa Nchi wakiangalia maonesho ya Makomandoo wa Jeshi la  Wananchi wa Tanzania JWTZ walipoonesha ukakamavu wao katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan, zilizohudhuriwa na Viongozi mbali mbali

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.