Habari za Punde

MBEYA CITY FC KAMILI KUWAVAA TANZANIA PRISONS KESHO

Nyasi za uwanja wa Sokoine zitawaka moto hapo kesho kufu
atia uwepo mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara unaozikutanisha timu mbili hasimu kutoka jiji la Mbeya,wenyeji wa mchezo Tanzania Prison na Mbeya City fc.

Afisa habari wa City, Dismas Ten, ameimbia mbeyacityfc.com kuwa maandalizi kuelekea mchezo huo yamekamilika na kinachosubiriwa ni dakika 90 za kesho.

Tumeajiandaa vizuri, kikosini hatuna majeruhi kwa mujibu wa daktari, tunasubiri dakika 90 za kesho ambazo ni wazi zitatupatia pointi tatu muhimu hii ni kwa sababu ya maandalizi mazuri tuliyofayanya.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.