Habari za Punde

MKAPA, MWINYI KUONGOZA MATEMBEZI YA “WALK FOR ELPHANT DAR ES SALAAM 2017

 Katibu Mkuu wa Chama cha Tanzania-China Friendship Promotion Association Bw.Joseph kahama akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya matembezi ya kupinga ujangili wa Tembo (Walk for Elephant 2017) yatakayofanyika kesho asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi kuanzia Ubalozi wa China mpaka Hoteli ya Sea Cliff.Kushoto kwake ni Hongxiang Huang kutoa China House.
Katibu Mkuu wa Chama cha Tanzania-China Friendship Promotion Association Bw.Joseph kahama akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya matembezi ya kupinga ujangili wa Tembo (Walk for Elephant 2017) yatakayofanyika kesho asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi kuanzia Ubalozi wa China mpaka Hoteli ya Sea Cliff.
Katibu Mkuu wa Chama cha Tanzania-China Friendship Promotion Association Bw.Joseph kahama akionyesha tangazo lenye ujumbe wa kuhimiza matembezi ya ku kupinga ujangili wa Tembo (Walk for Elephant 2017) yatakayofanyika kesho asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi kuanzia Ubalozi wa China mpaka Hoteli ya Sea Cliff. Kushoto kwake ni Hongxiang Huang kutoa China House. Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.