Habari za Punde

MKURUGENZI WA UCHAGUZI, KAILIMA AFANYA MAHOJIANO NA TBC

 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akionesha moja ya fomu zinazotumika katika Uchaguzi wakati akifanya mahojiano na Mtangazaji Mwandamizi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Shaban Kissu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akifafanua jambo. Picha na Hussein Makame, NEC

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.