Habari za Punde

OPERESHENI KAMATA BAJAJI SAYANSI DAR

 Kamera ya Mafoto Blog jana iliwanasa askari Polisi watatu wakiwa nyuma ya jengo la Sayansi wakikamata Bajaji na kuwakagua madereva na wengine kushushiwa abiria. Haikuweza kufahamika kwa haraka kuhusu Operesheni hiyo kwamba ilikuwa ni rasmi na ilikuwa ikihusu nini zaidi, kwani kila dereva aliyekuwa akipigwa stop eneo hilo alishushwa na kuombwa leseni kama anavyoonekana mmoja wa madereva hao akikabidhi Leseni kwa askari huyo (pichani juu). Kulia ni abiria walioshuhswa katika moja ya Bajaji hizo.
 Ukaguzi ukiendelea.....
Operesheni ikiendelea eneo hilo.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.