Habari za Punde

OTEA NINI KINAFANYIKA HAPA MZUNGUKO WA PICHA YA BISMINI POSTA MPYA?

Hivi ndivyo mzunguko wa Picha ya Bismini unavyoonekana baada ya kuondolewa bustani na kufanyiwa marekebisho 
 Baraba moja ikiwa imefungwa kupisha mafundi kuendelea na uchimbaji eneo hilo la Picha ya Bismini kwa ajili ya kutengeneza njia za maji machafu kuelekea Baharini
 Mafundi wakaiendelea na uchimbaji eneo hilo
 Muonekano katika eneo hilo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.