Habari za Punde

POLEPOLE ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI UHURU NA NEW HABARI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, leo amefanya ziara ya kikazi katika Vyombo vitatu vya Habari vya Kampuni za Uhuru Publications Ltd, Wachapishajiwa Magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Burudani, Peoples Media ya Uhuru FM na New Habari Corporation, Wachapishaji wa Magazeti ya Mtanzania, Rai na Dimba. Pichani, Polepole akizungumza na Wafanyakazi na viongozi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd, wakati wa ziara hiyo.
Polepole akiingia katika Ofisi za Uhuru Publications Ltd, zilizopo Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Kaimu Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Gabriel Athuman. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Polepole akimsalimia Suleiman Jongo alipokuwa akisalimia wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo leo
Polepole akimsalimia Grace alipokuwa akisalimia wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo leo
Polepole akimsalimia mmoja wa wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo leo
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Ramadhani Mkoma (kushoto) akimtambulisha baadhi ya Viongozi wa UPL kwa Polepole
Polepole akifafanua jambo alipokuwa akizungumza Ofisi kwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL 
Polepole (kulia) akizungumza na Kaimu Mhariri Mtendaji Ramadhani Mkoma (kushoto) alipokuwa katika ziara hiyo leo
Wafanyakazi wa UPL wakisimama kumlaki Polepole alipoingia kwenye chumbacha habari ili uzungumza nao
Katibu wa NEC, Itkadi na Uenezi Polepole akizungumza na wafanyakazi wa UPL leo
Katibu wa NEC Itkadi na Uenezi, Humphrey Polepole akipanda ngazi kuingia katika Ofisi za Uhuru FM leo
Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpa Polepole kitabu cha wageni ili asaini
Akilimali akitoa maelezo machache kumkaribisha Polepole
Akilimali akimkabidhi Polepole taarifa kuhusu Uhuru FM
Baadhi ya Maofisa Kutoka Makao Makuu ya CCM, na wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika Ofisi ya Akilimali
Polepole akiwa tayari kuzungumza na Wafanyakazi wa Uhuru FM
Akilimali akitambulisha ugeni wa Polepole kwa wafanyakazi wa Uhuru FM
Polepole akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakimskiliza Polepole
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakimsikiliza Polepole
************************************
NEW HABARI CORPORATION
Mhariti Mtendaji wa New Habari Corporation Absalom Kibanda akimkaribisha Polepole katika Ofisi za Kampuni hiyo, Sinza jijini Dar es Salaam
Polepole akimsalimia Msanifu wa Habari wa kampuni hiyo, Hamis Mkotya
Polepole akimsalimia Mwandishi wa siku nyingi Mzee Makaranga
Polepole akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa New Habari Corporation
Baadhi ya wafanyakazi wa New Habari Corporation wakiwa wamesimama kumshuhudia Polepole
Polepole akiondoka katika Chumba cha Habari cha New Habari Corporation
Polepole akimsalimia Mhariri Mkuu wa gazeti la Mtanzania
Kibanda akizungumza na Polepole katika Ofisi za New Habari Corporation
Deus Mhagale na mfanyakazi mwenzake wakimfurahia mpigapicha aliyefuatana na Polepole 
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akifafanua jambo katika mazungumzo na Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation Absalom Kibanda. Picha zote na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.