Habari za Punde

TANZIA: KAMANDA WA POLISI WA ZAMANI MKOA WA KILIMANJARO DKT. MOHAMED CHICO AFARIKI DUNIA

Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam. 
Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico, mazishi yake yamepangwa kufanyika leo Jumapili 22/01/2017 jioni katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. 
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Kijitonyama. Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo.
Mwenyezi Mungu amjaalie kauli thabit na ailaze roho yake mahali pema peponi - AMIN
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJI'UN

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.