Habari za Punde

TCRA HIVI KUFRASH SIMU NI MAKOSA AMA INARUHUSIWA???

Imeelezwa kuwa siku hizi hata kufrash simu yako ya mkononi ni makosa na iwapo ukikamatwa ukifanya hivyo unaweza kushitakiwa, lakini cha ajabu ni kwamba ukipita mitaa ya Kariakoo na hasa mitaa ya Shule ya Uhuru unapishana na askari wengi tu katika maeneo haya na wao hupishana na matangazo mengi tu ya aina hii, Je hawayaoni ama kufrash huku ni kwa aina gani na kule kufrash ambako ni kosa ni kwa aina gani???

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.