Habari za Punde

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA JIJINI OFISINI KWAKE JIJINI DAR

  Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi ofisi Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mazungumzo mafupi. Waziri Wang Yi yupo nchini kwa ziara ya siku moja.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akiongea jambo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi ofisi Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuendelea kuimarisha zaidi mahusiano kati ya Tanzania na China.Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.  
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akiongea jambo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi ofisi Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuendelea kuimarisha zaidi mahusiano kati ya Tanzania na China.Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.  Picha na Daudi Manongi-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.