Habari za Punde

VIDEO: KAMANDA SIRO AFUNGUKA KUHUSU WATU WALIOTAJWA KUHUSIKA NA MADAWA YA KULEVYA


 Huyu ni mmoja kati ya waliotajwa kuripoti Kituo cha Polisi Kati, Hussein Pamba Kali (kulia) akiwasili KItuoni hapo leo. Mbali na huyo pia aliyefika leo ni pamoja na Mbunge Mstaafu, Iddi Azan aliyefika asubuhi na mapema, pamoja na watu wengine ambao si maarufu sana machoni mwa wananchi.
 Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Siro, akizungumza  na waandishi wa habari leo akitangaza rasmi kuhusu utaratibu.
 Wadau wa timu ya Yanga wakitoka kituoni hapo kujua utaratibu kuhusu Mwenyekiti wao aliyelala ndani akihojiwa tangu jana.
 Msaidizi wa Askofu Gwajima akiwa na 'Kipaseli' akipeleka kwa bosi wake msosi.
 Askari Kanzu wakishusha mzigo waliotoka kuukamata
Baadhi ya waandishi wa habari na wapiga picha waliokuwa eneo hilo kusubiri kunasa matukio.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.