Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Kamera ya Mafoto Blog iliwanasa jamaa hawa wakiwa wametulia tuuuuuli juu ya Kibajaji chao kilichosheheni takataka huku kikikatiza barabara ya Mandera tena bila woga wa kupata ajali wala kuogopa askari wa usalama barabarani

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.