Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO


 Binti ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akiwa ameuchapausingizi ndani ya Bajaji iliyokuwa ikisubiri abiria eneo laShule ya Uhuru jijini Dar es Salaam. Bajaji hizi hupakia abiria wanne kutoka Shule ya Uhuru kwenda Posta Mpya ambapo kila abiria hulipa naulikiasi cha Sh. 1,000/= kila mmoja. Mdada huyu alipitiwa na usingizi wakati akisubiri Bajaji hiyokujaza abiria ilikuanza kwa safari yao kama alivyonaswa na Kamera ya Mafoto Blog.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.