Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

 Huyu jamaa alianguka mwenyeeeewe haikuweza kufahamika kilichomsibu hapa eneo la Kituo cha Polisi Cha Kati, huku watu waliokuwapo eneo hilo wakibaki kumshangaa tu.
 Akiinua pikipiki yake
Akiomba msamaha kwa askari wa usalama barabarani

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.