Habari za Punde

KILELE CHA MAADHIMISHO MIAKA 40 YA CCM MKOA WA DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika katika ukumbi wa jenngo la CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula, akihutubia katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika katika ukumbi wa jengo la CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma. Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
 Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole akihamasisha katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika katika ukumbi wa jengo la CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM, John Malecela akizungumza na Mbunge wa kuteuliwa, Mama Anna Malecela, wakati wakisubiri kuingia ukumbini kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika katika ukumbi wa jengo la mikutano la CCM la Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishauriana jambo na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wakati wa sherehe hizo katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.