Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA JOPO LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI - DUBAI.

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa Jopo la Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi linalofanyika jijini Dubai.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na mmoja wa washiriki wa mkutano wa Jopo la Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi linalofanyika jijini Dubai.
Washiriki wa mkutano wa Jopo la Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi likiendelea kufanyika jijini Dubai.
Pichani kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya Washiriki wa mkutano wa Jopo la Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi linalofanyika jijini Dubai.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.