Habari za Punde

MWANDEGE FC YATINGA NUSU FAINALI MICHUANO YA KOMBE LA ULEGA

 Mchezaji wa timu ya Mwandege Fc akichuana kuwania mpira na mchezaji wa Mkamba Fc,wakati wa mchezo wa Nusu fainali wa Kombe la  Ulega lililomalizika jana,huku  Mkamba wakiibuka kidedea kwa mabao 2-1.

Timu hiyo ya Mwandege kutoka kata ya mwandege imefanikiwa kuingia hatua ya Nusu fainali baada ya kuisambaratisha timu ya Mkamba ya kata ya mkamba kwa mabao 2- 1
 Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mkamba Fc kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu fainali kati yao na Mwandege Fc 
  Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mwandege kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu fainali kati yao na Mkamba Fc 
 Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Mwandege iliyobuka na ushindi katika mashindano ya kombe la Ulega.
Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Mkamba wakaati wa mchezo wakirafiki uliopigwa jana Mkuranga.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.