Habari za Punde

NAIBU BALOZI WA ISRAEL NCHINI MHE. MICHAEL BAROR ATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimsikiliza Naibu Balozi wa Israel nchini mwenye  makazi yake jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Michael Baror alipotembelea Taasisi hiyo jana kwaajili ya  kuona huduma mbalimbali za matibabu ya Moyo wanazozitoa. Mhe. Naibu Balozi Baror aliahidi nchi yake kuendelea kushirikiana na Taasisi hiyo ili watanzania waendelee kupata huduma bora za matibabu ya Moyo. Mwanzoni mwa mwezi ujao jumla ya watoto tisa wanatarajia kwenda nchini Israel kwaajili ya matibabu ya moyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na  Naibu Balozi wa Israel nchini ambaye makazi yake yapo Nairobi nchini Kenya Mhe. Michael Baror mara baada ya kumaliza kuitembelea  Taasisi hiyo jana kwaajili ya  kuona huduma mbalimbali za matibabu ya Moyo wanazozitoa. Mhe. Naibu Balozi Baror aliahidi nchi yake kuendelea kushirikiana na Taasisi hiyo ili watanzania waendelee kupata huduma bora za matibabu ya Moyo. Mwanzoni mwa mwezi ujao jumla ya watoto tisa wanatarajia kwenda nchini Israel kwaajili ya matibabu ya moyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na  Naibu Balozi wa Israel nchini ambaye makazi yake yapo Nairobi nchini Kenya Mhe. Michael Baror alipoitembelea  Taasisi hiyo jana kwaajili ya  kuona huduma mbalimbali za matibabu ya Moyo wanazozitoa. Mwanzoni mwa mwezi ujao watoto tisa wanatarajia kwenda nchini Israel kwa ajili ya matibabu ya moyo. Picha na Anna Nkinda - JKCI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.