Habari za Punde

NEWS ALERT: WAZIRI MKUU AKERWA MBOLEA YA MINJINGU KUPEWA LEBO YA KENYA, ATAKA WAANDIKE BARUA YA KUOMBA RADHI KWA RAIS MAGUFULI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mgodi wa kiwanda cha mbolea cha Minjingu wakati alipotembelea kiwanda hicho mkoani Manyara, Februari 19, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha mbolea cha Minjingu mkoani Manyara, Februari 19, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabala ya kutembelea kiwanda cha mbolea cha Minjingu mkoani Manyara kuanza awamu ya pili ya ziara yake mkoani humo Februari 19, 2017. Kulia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Uvuvi, Dkt, Charles Tizeba na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa ManyaraDkt. Joel Bendera. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Raymound Mushi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.