Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA MWAKA MPYA KWA MABALOZI (NEW DIPLOMATIC SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mabalozi mbalimbali  wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini katika Sherehe za Mwaka mpya kwa Mabalozi(New Diplomatic Sherry Party) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini mara baada ya kuwahutubia katika Sherehe za Mwaka mpya kwa Mabalozi(New Diplomatic Sherry Party) Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.