Habari za Punde

RAIS WAZANZIBAR DKT. SHEIN AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkabidhi vifaa vya michezo mwakilishi wa Jimbo la Uzini CCM Vuai Naimu wakati wa utoaji wa Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mhe,Mohamed Raza Daramsi Mwakilishi wa Jimbo la Uzini katika kuimarisha Michezo kwa Vijana wa CCM Majimbo ya Unguja,ambapo majimbo mbali mbali walikabidhiwa vifaa hivyo hafla iliyofanyika leo ukumbi wa CCM Mkoa Amani.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi vifaa mbali mbali vya michezo mwakilishi wa Jimbo la Kwahani CCM Sufiani khamis wakati wa utoaji wa Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mhe,Mohamed Raza Daramsi Mwakilishi wa Jimbo la Uzini katika kuimarisha Michezo kwa Vijana wa CCM Majimbo ya Unguja,ambapo majimbo mbali mbali walikabidhiwa vifaa hivyo,hafla iliyofanyika leo ukumbi wa CCM Mkoa Amani.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akimkabidhi vifaa mbali mbali vya kuendeshea mashindano ya mpira wa Miguu kwa timu za Vijana majimbo ya CCM wilaya za Unguja,Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo Abdalla Mwinyi Hassan,vifaa hivyo vilivyotolewa na  Mhe,Mohamed Raza Daramsi Mwakilishi wa Jimbo la Uzini katika kuimarisha Michezo kwa Vijana wa CCM Majimbo ya Unguja,hafla iliyofanyika leo ukumbi wa CCM Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali na Vijana wa Majimbo na ya CCM Unguja katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini CCM Mhe,Mohamed Raza Daramsi,ikiwa ni katika kuimarisha Michezo kwa Vijana wa CCM Majimbo, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa CCM Mkoa Amani.

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa majimbo ya Unguja CCM na Vijana wakiwa katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Mhe,Mohamed Raza Daramsi Mwakilishi wa Jimbo la Uzini,katika kuimarisha Michezo kwa Vijana wa CCM Majimbo ya Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani leo. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.