Habari za Punde

STIVE NYERERE AOMBA RADHI KWA SAUTI ILIYOSAMBAZWA NA MAMA WEMA

'Kulikuwa na maongezi ya simu kati ya mimi na mama Sepetu, mimi ndio nilikuwa naogea na mama Sepetu yasipindishwe"-Steve Nyerere.
"Kwenye kampeni tulilipwa hakuna aliyefanya kazi bila kulipwa, kundi la mama ongea na mwanao mimi ndio nilikuwa mwenyekiti"Steve Nyerere
"Uwezo wa kuwaambia Wabunge au kuwaelekeza cha kufanya sina, sina ujanja huo.... namuomba radhi Spika Job Ndugai" -Steve Nyerere
"Ninaimani aliyelipwa fedha nyingi kwenye mama ongea na mwanao ni dada 'Wema' hakuna msanii hata mmoja anayeidai CCM"-Steve Nyerere
"Ile audio imekuja kuachiwa juzi wakati watu wanahama chama, kwanini nirekodiwe? naamini wamefanya hivyo makusudi" - Steve Nyerere
"Namuomba radhi Rais Magufuli na Chama changu cha CCM, yanaongelewa mengi ninayasikia, naomba radhi familia pia, niliteleza"-Steve Nyerere
"Nimetaja viongozi ktk ile audio alafu unakuja kuisambaza nimetaja viongozi wa Nchi, Mama alichofanya kuisambaza ni mauaji" - Steve Nyerere
"Watanzania wenzangu usimuamini binadamu yeyote, Mama Wema alitaka kuniharibia maisha yangu, Mama kanikosea.. namuachia Mungu"-STEVE NYERERE
"Nina miaka 25 kwenye sanaa, leo mtu anatoa vitu ambavyo tulikuwa tunaongea kwa ajili ya mwanae, alitaka kuniharibia maisha yangu"-Steve

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.