Habari za Punde

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAPEWA MAFUNZO YA KANUNI NA SHERIA ZA MANUNUZI NA PSPTB

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifungua mafunzo ya siku tatu ya kanuni na sheria za manunuzi kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo yanayotolewa na wataalamu kutoka Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB). Lengo la mafunzo hayo  ni kuwajengea uwezo na kuzifahamu sheria za manunuzi.
  Baadhi ya Washiriki wa  mafunzo ya siku tatu ya kanuni na sheria za manunuzi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yanatolewa na wataalamu kutoka Bodi ya Usimamizi na Ugavi (PSPTB). Lengo la mafunzo hayo  ni kuwajengea uwezo na kuzifahamu sheria za manunuzi.
  Baadhi ya Washiriki wa  mafunzo ya siku tatu ya kanuni na sheria za manunuzi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yanatolewa na wataalamu kutoka Bodi ya Usimamizi na Ugavi (PSPTB). Lengo la mafunzo hayo  ni kuwajengea uwezo na kuzifahamu sheria za manunuzi .Picha na Anna Nkinda - JKCI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.