Habari za Punde

TAGCO WATEKELEZA AGIZO LA MHE. MAKAMU WA RAIS LA KUFANYA MAZOEZI

Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Wahariri wa Vyombo vya Habari, Madaktari, Waandishi wa Habari pamoja na Wapiga picha wakifanya mazoezi ya viungo ikiwa ni sehemu ya kulinda miili yao dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza pamoja na utekelezaji wa agizo la Mhe. Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alilolitoa 17 Desemba, 2016 ambalo linawataka Watumishi wa Uma kazini kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi. Mazoezi hayo yamefanyika 18/02/2017 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Wahariri wa Vyombo vya Habari, Madaktari, Waandishi wa Habari pamoja na Wapiga picha wakifanya mazoezi ya viungo ikiwa ni sehemu ya kulinda miili yao dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza pamoja na utekelezaji wa agizo la Mhe. Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alilolitoa 17 Desemba, 2016 ambalo linawataka Watumishi wa Uma kazini kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi. Mazoezi hayo yamefanyika 18/02/2017 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.