Habari za Punde

VIDEO: AJALI YA AJABU BODABODA USO KWA USO

Pikipiki ya (kulia) ni Boxer  yenye namba za usajili MC 595 BDC ilikuwa ikitokea Tang Bovu kuelekea Goba na ya (kushoto) ni ya Mchina yenye namba za usajili T165  CGC ilikuwa ikitokea njia ndogo Kituo cha Sanya kuingia barabara kubwa na kumgonga mwenye Boxer. Katika ajali hiyomadereva hao wote walinusurika.
Mmoja kati ya madereva wa pikipikihizoaliyejulikana kwa jina moja la Enock (kushoto) mwenye kikoti cha njano, akiwa eneola tukio akisubiri utaratibu wa askari wa usalama barabarani kuja kupima ajali hiyo

1 comment:

  1. Much appreciated you all that much to share these connections. Will look at this.. video production services

    ReplyDelete

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.