Habari za Punde

WEMA SEPETU ATANGAZA RASMI KUHAMIA CHADEMA

 Miss Tanzania wa mwaka 2005 na mwigizaji wa Filamu nchini aliyekuwa Kada wa CCM, Wema Sepetu (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika leo mchana Nyumbani kwa Mama yake, wakati akitangaza rasmi kuhamia CHADEMA.  Kulia ni Mama yake mzazi
 Baadhi ya wapambe wa Msanii huyo wakiwa nje babla ya kuanza kwa mkutano huo.
 Wema Sepetu akionyesha alama ya Vidole viwili inayotumiwa na Chadema.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.