Habari za Punde

WLAC WAENDESHA MDAHALO SHULE YA SEKONDARI KIBASILA

Mwezeshaji na Mwanaharakati kutoka TGNP, Aisha Kijavala, akiendesha mdahalo kwa wanafunzi  wa Kidato cha Nne na cha Tatu wa Shule ya Sekondari Kibasila kuhusu 'Ukatili wa Kijinsia ni chanzo cha kushuka kwa Ufaulu wa Elimu hususan kwa Wanafunzi wa kike?. Mdahalo huo ulioandaliwa na Kituo cha msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto WLAC, na kufadhiliwa na Oxfarm, unaendelea kufanyika kwa baadhi ya Vyuo na shule za Sekondari za jijini Dar es Salaam  
Mwezeshaji Aisha Kijavala, akiendesha na kutoa mada katika mdahalo huo.
Mwanasheria wa Kituo cha msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto, Robert Chuwa, akitoa mada katika mdahalo huo.
Mratibu wa Kampeni ya 'Tunaweza' na Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto, Abia Richard, afafanua jambo kwa wanafunzi hao kuhusu shughuli za Kituo hicho.
Mratibu wa Kampeni ya 'Tunaweza' na Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto, Abia Richard, afafanua jambo kwa wanafunzi hao kuhusu shughuli za Kituo hicho.
Mwezeshaji Aisha Kijavala, akigawa madaftari kwa wanafuzni hao kabla ya kuanza kwa mdahalo huo.
Wanafunzi wakisaidia kugawa vifaa na madaftari kwa wanafunzi wenzao kabla ya kuanza kwa mdahalo huo.

Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria mdahalo huo.
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria mdahalo huo.
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne (a) Ester Mdeme, akichangia mada wakati wa mdahalo huo.
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne (d) Zainab Omary, akichangia mada wakati wa mdahalo huo.
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne (a) Angetile Stanley, akichangia mada wakati wa mdahalo huo.
Muonekano wa darasa hilo la mdahalo....
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne (a) Ester Mdeme, akichangia mada wakati wa mdahalo huo.
Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu, Vestina Paul, akichangia mada wakati wa mdahalo huo.
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne (c) Benny John, akichangia mada wakati wa mdahalo huo.
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne (d) Stepven Method , akichangia mada wakati wa mdahalo huo.
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne (d) Maria Matei , akichangia mada wakati wa mdahalo huo.
Mdahalo ukiendelea.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.