Habari za Punde

WLAC YAENDELEA NA MDAHALO KWA WANAFUNZI KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA KWA MTOTO WA KIKE

  Mwezeshaji mafunzo kwa Vijana kutoka Shirika la ALF, Liwile Mahmoud, akiendesha Mdahalo kwa wanafunzi wa Sekondari na Chuo cha Ebonite Teachers College, wakati wa mdahalo huo kuhusu 'Ukatili wa Kijinsia ni chanzo cha kushuka kwa Maendeleo ya kielimu hususan kwa Wanafunzi wa Kike'. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto, WLAC kwa kushirikiana na Oxfarm, yamefanyika leo katika Chuo hicho kilichopo Kimara Bucha jijini DaresSalaam.

Mwanafunzi wa Chuo hicho, Wegesa Elias, akichangia mada ya mdahalo huo.
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo hicho wakifuatilia mada iliyokuwa ikiendelea mbele yao.
Mwanafunzi wa Chuo hicho, Sajie Kiringo, akichangia mada katika mdahalo huo.
Mratibu wa Mdahalo huo,Abia Richard, akigawa baadhi ya vifaa kwa washiriki wa mdahalo huo.

Mwanafunzi wa Chuo hicho, John Anthony, akichangia mada katika mdahalo huo.
Mratibu Mdahalo huo,Abia Richard, akigawa baadhi ya vifaa kwa washiriki wa mdahalo huo.
Mwanafunzi wa Chuo hicho, Hassan Hamis, akichangia mada katika mdahalo huo.
Mdahalo huo,Abia Richard, akigawa baadhi ya vifaa kwa washiriki wa mdahalo huo.
Majadiliano yakiendelea

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.