Habari za Punde

YANGA YAANZA KUWASHA TAA YA KIJANI LIGI KUU, YAICHAPA STAND MABAO 4-0 TAIFA

 Winga wa Yanga, Simon Msuva akifunga bao la pili kwa timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 huku mabao yakifungwa na Donald Ngoma, Simon Msuva, Obrey Chirwa na Nadir Haroub Canavaro, Msuva akikosa penati.
 Msuva akishangilia bao lake la pili
 Mchezaji wa Stand United, Chidiebele, akipiga shuti katikati ya mabeki wa Yanga.
Simon Msuva akikosa penati. 
KWA HABARI KAMILI NA MATUKIO YA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.