Habari za Punde

AZAM FC WAJIFUA AFRIKA YA KUSINI KUJIANDAA KUWAKABILI MBABANE JUMAPILI

Wachezaji wa Azam Fc wakiwa katika mazoezi yao ya pamoja nchini Afrika ya Kusini katika Uwanja wa Trans Orange, kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Mbabane ya nchini Swazland unaotarajia kuchezwa siku ya jumapili wiki hii.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.