Habari za Punde

BOMOA BOMOA KANDO KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR

Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam. 

Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila
Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa
Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa
Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo.
Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji
Wataalamu wakipima mita 20 kutka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya hifadhi ya reli zibomlewe kupisha ujenzi wa reli ya kisasa. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.