Habari za Punde

BREAKING NEEEWZZZ!!!!KAMPUNI YA UDALADI YA YONO YA FUNGA OFISI ZA TFF

MMOJA kati ya walinzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, akitoka ndani ya Ofisi hizo huku akiinama kupita chini ya Kamba iliyofungwa na Kampuni ya Udalali ya Yono, waliofika na kufunga mageti ya ofisi hizo na kuzuia mali na baadhi ya magari ya Shirikisho hilo, keo mchana kwa kile kinachodaiwa Shirikisho hilo kidaiwa na TRA. 
 Baadhi ya magari ya wafanyakazi wa Shirikisho hilo yakiwa nje ya Geti baada ya Yono kufika na kufunga mageti huku wakijaribu kuzuia kila gari walilolikuta ndani ya ofisi hizo, lakini wamiliki wa magari hayo walikuwa mbogo na kuyaondoa na kuyaegesha nje ya geti la ofisi hizo.
  Baadhi ya vifaa vikiwa nje geti la Ofisi hizo.
 Geti la Ofisi hizo likiwa limefungwa
 Baadhi ya Maofisa wa TFF wakikatiza karibu na geti lililozungushiwa uzio wakamba na Yono

Baadhi ya Maofisa wa Yono wakiwa ndani ya Ofisi hizo wakilinda

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.